Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Top Stories

Watoto wamtelekeza Mama “Niliza na mpigani Uhuru wa Afrika Kusini” (+video)

on

Magreth Mali ni mmoja kati ya Wajane wanaoishi Mazimbu Mkoani Morogoro ambapo aliolewa na raia wa Afrika Kusini, marehemu Oscar Mali ambaye alikuwa Mpigania Uhuru wa nchi ya Afrika Kusini.

Oscar Mali alifika Tanzania miaka ya 1980 akiwa na wenzake kama Wakimbizi walioanzia vuguvugu la Kikoloni nchini mwao. Oscar alikutana na Magreth ambapo waliishi na kuzaa na baada ya Oscar kufariki Bibi Magreth analalamika kuishi katika maisha magumu.

UJIO MPYA WA NYOSHI EL SADAT KARIBU KUITAZAMA YUPO NA BOGOSS MUSICA

Soma na hizi

Tupia Comments