Top Stories

Mufti Mkuu apiga marufuku muziki moto Nchi nzima “dufu, Qaswida wanachafua” (+video)

on

Mufti wa Tanzania Abubakar Zubeir amepiga marufuku Muziki mpya ulioibuka uitwao ‘Muziki Moto’ unaopigwa kwenye sherehe mbalimbali za Kiislamu kama vile harusi kwasababu hauna maudhui ya Dini ya Kiislamu na unavunja maadili katika Jamii.

Mufti Zuberi amesema Mkoa wa DSM ndio unaongoza kwa kupiga dufu hizo na qaswida zisizo na maudhui ya Kiislamu .

“Muziki moto unaaibisha Uislamu na unachafua sura nzuri ya Uislamu na maadili yake, wanaofanya hivyo kwa jina la Uislamu waache mara moja “ Mufti

RC MWANRI ATAMANI KUTUMIA HELIKOPTA KWENYE KILIMO “TUTAZALISHA TANI 15,000”

Soma na hizi

Tupia Comments