AyoTV

AUDIO: Ukimuuliza Waziri Muhongo unahamia lini Dodoma atakujibu hivi…..

on

Rais Dk. John Magufuli wakati akikabidhiwa kijiti cha Uenyekiti wa chama cha mapinduzi ‘CCM’ na aliyekua Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete katika baadhi  ya mambo ambayo aliongelea ni kuhusu kuhamishia Serikali Dodoma kabla ya awamu hii haijaisha.

Baada ya ahadi hiyo, siku ya Mashujaa iliyofanyika Dodoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa naye alisisitiza kuwa ifikapo mwezi september mwaka huu yeye atakua amehamia Dodoma na wizara zote zimfuate.

Sasa baada ya kauli hizo baadhi ya Mawaziri wamesema watahamia mwezi huu wengine wanajipanga  kuhamia Dodoma lakini leo hii ukikutana na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ukamuulizia anahamishia lini ofisi yake Dodoma utapata majibu haya…..

>>>’Rais ameshaongea, Waziri mkuu ameshaongea kutokana na taratibu za kiutendaji hao wawili wakishaongea wameongea kwa niaba yetu

ULIIKOSA HII YA RAIS MAGUFULI KUIPELEKA SERIKALI YOTE DODOMA? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments