Habari za Mastaa

AudioMpya: Nandy ameshirikishwa na Lomodo kwenye ‘Sina Ujanja’

on

Leo July 14, 2018 nakusogezea wimbo ambao Staa wa Bongofleva, Nandy The African Princess ameshirikishwa na Mkali Lomodo aliyetamba na ngoma ya ‘NAFUU’ aliyomshirikisha Barakah the Prince ambayo imefanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio, TV.

Ngoma nayokupa leo inaitwa ‘Sina Ujanja’ imetayarishwa na Producer Bonga ndani Better Sound, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama usisahau kuacha comment yako ili Lomodo akipita aone umeipokeaje.

Bwana Mjeshi kuhusu kodi BASATA “Hatutokubali kukatwa tunalipa kodi nyingi sana wasanii”

Soma na hizi

Tupia Comments