AyoTV

Video: Hospitali ya Muhimbili kuwahudumia wagonjwa wa moyo bure

on

Hospitali ya taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya Kinondoni Paul Makonda wameungana pamoja na kuamua kutoa huduma ya vipimo mbalimbali vya magonjwa ikiwa ni pamoja na ugonjwa wa moyo itayofanyika Jan 23 2016 Dar.

Stori kamili iko kwenye hii video na unaweza pia kuiona mashine ya kutibu ugonjwa huo inavyofanya kazi.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments