Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Muigizaji aweka rekodi kupaa anga za mbali kwa roketi
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Muigizaji aweka rekodi kupaa anga za mbali kwa roketi
Top Stories

Muigizaji aweka rekodi kupaa anga za mbali kwa roketi

October 14, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Muigizaji na Muongozaji filamu aliyewahi pia kucheza kama Kapteni Kirk akisafiri hadi anga za mbali katika mtililiko wa filamu za ‘Star Trek’, William Shatner amekua mtu wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi (miaka 90) kufika anga za mbali akitumia roketi ya kampuni ya Blue Origin inayomilikiwa na tajiri namba mbili duniani, Jeff Bezos.

Shatner na watu wengine watatu waliruka mapema Jumatano kwa saa za magharibi na kurejea ardhini. Bezos alishiriki uzinduzi wa safari hiyo na pia ndiye alifungua mlango wa roketi mara baada ya kutua ardhini. Bezos amekua na mpango wa kutengeneza roketi zitakazo tumika kubeba watu kwenda katika anga la mbali, mpango ambao pia umekuwa ukifanywa na tajiri namba moja duniani Elon Musk.

William Shatner amesema “kila mtu ulimwenguni anahitaji kufika na kuiona… Anga la bluu lilikuwa la kushangaza.”

GAUNI LA BIBI HARUSI LAWAKA MOTO UKUMBINI DAR, GARI LAO HUMMER LAGONGA

You Might Also Like

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA October 14, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article TAZARA yasitisha safari New Kapiri-Mposhi na Kasama Zambia
Next Article Nick Minaj akoshwa na Tiwa Savage, aweka comment
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?