Jeshi la Polisi Mwanza linawashikilia Watuhumiwa wawili Mke na Mume kwa kosa la mauaji ya Dereva Taxi aliekuwa mkazi wa Isamilo Mwanza, ambae walimkodi kwenda Sengerema mida ya jioni na baadae kutekeleza mauaji hayo na kwenda kwa mganga kufanya zindiko ili wasikamatwe na Polisi.