Michezo

Hivi ndio Man United ilivyoendeleza ubabe dhidi ya San Jose.. (Pichaz & Video)

on

MAn-United-vs-SJE-770x385

Ikiwa kila timu ya Ligi kuu Uingereza imeonesha nia ya kujipanga  katika msimu utakaoanza August 8 2015, Manchester United wameendeleza ushindi katika ziara yake ya maandalizi ya Ligi Kuu Uingereza.

hington.  Manchester United defeated Club Ametto Greule Jr/Bongarts/Getty Images)

Man United usiku wa kuamkia July 22 imeifunga timu ya San Jose Earthquakes kwa goli 3-1 huku mabao ya Man United yalifungwa na Juan Mata dakika 32 na mshambuliaji aliyesajiliwa msimu huu wa majira ya joto, Memphis Depay kufunga bao la pili dakika 37 baada ya beki wa San Jose kurudisha mpira nyuma na Depay kutumia kosa hilo na Andreas Pereira dakika 61 huku goli pekee la San Jose lilifungwa na Fatai Alashe dakika 43.

Nimekuwekea video ya magoli na Pichaz za mechi mtu wangu

4096

1642596-34849791-2560-1440

2015-07-18t043639z_80195799_mt1aci13879890_rtrmadp_3_soc

Baada ya Pichaz enjoy na hiki kipisi cha Video pia mtu wa nguvu.

https://youtu.be/oTLq0iA7iHM

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments