Top Stories

Muoneka wa MV new Victoria ikitia nanga Bukoba (+picha)

on

Leo June 29, 2020 Nakusogezea picha za mapokezi ya Mv new Victoria ikitia Nanga katika Bandari ya Bukoba katika safari yake ya kwanza ya Majaribio Mara baada ya kusimama takribani miaka sita kwa marekebisho.

MELI MPYA YA NEW VICTORIA ILIVYOWASILI BUKOBA KWA MARA YA KWANZA”MIZIGO KUSAFIRISHWA BURE”

Soma na hizi

Tupia Comments