“Maombi ya jezi kutoka kwa Mashabiki wa Simba yamekuwa makubwa sana na uongozi umeona ni vyema kuwasikiliza, natangaza rasmi kwamba kuanzia sasa jezi mpya za Simba zinapatikana sasa kwenye maduka ya Vunja Bei Nchi nzima, Mashabiki wana hamu wameona Jumamosi mbali, kwahiyo kesho ratiba za uzinduzi zitaendelea kama kawaida lakini jezi tayari zimeanza kuuzwa” ————Ezekiel Kamwaga
“Mzigo umefika, jezi bora, jezi ya viwango, jezi ambayo inafaa kuvaliwa na kila Mwanasimba na mpenda soka popote pale duniani” Kamwaga