Top Stories

Muonekano wa Arusha baada ya Machinga kuondoka, Viongozi wafunguka (video+)

on

Jana November 4 2021 ndio ilikua siku ya mwisho kwa Wamachinga wanaofanya shughuli zao pembezoni ya mitaro na barabarani kuondoka Jijini Arusha.
AyoTV imepita kwenye mitaa mbalimbali kujionea jinsi agizo hilo lilivyotekelezwa kwa kiwango kikubwa na maeneo hayo kubaki wazi.

BUNGENI:TANZANIA INA MABILIONEA 5,740 AMBAO WANAMILIKI ASILIMIA 4.2 YA UTAJIRI

Soma na hizi

Tupia Comments