Hapa ni Kutoka Nyamongo wilayani Tarime Mkoani Mara ambapo ndipo ulipofanyika uwekezaji mkubwa wa madini ya dhahabu kupitia KAMPUNI YA Barrick Noth Mara tangu 2019-hadi hivi sasa 2023 ambapo uwekezaji huo unatajwa kufikia zaidi trillion 4.6 ambapo sambamba na uwekezaji huo makampuni bikundi,na watoa huduma wazawa kutoka Nyamongo,Tarime na mikoa Mbalimbali nchini Tanzania wameliowa zaidi ya bilion 200 kwa wazawa wa maeno kwa ajli ya watu huduma mbalimbali katika Mgodi.