Habari za Mastaa

Muonekano wa Posta ya New York ‘Time Square’ baada ya Janga la Corona kuibuka

on

Marekani kuna baadhi ya maeneo kwasasa hayana watu kabisa yaani kuna miji imepooza kabisa kama ilivyozoeleka zamani, Hii clip inaonesha mahali ambapo watu wengi upiga picha yaani ni sehemu maarufu sana huko New York itwayo Time Square hakuna watu wengi kama ilivyozoeleka na hakuna shughuli yoyote inayoendelea.
.
Hofu ya Corona Virus imesababisha kutokuwepo kwa mkusanyiko wowote nchini Marekani na mataifa mengine.

Soma na hizi

Tupia Comments