Mix

Taarifa kamili kuhusu habari ya Rais Magufuli kumteua Jerry Murro

on

Baada ya taarifa kuenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa Rais John Pombe Magufuli amemteua Jerry Murro ambaye alikuwa afisa habari wa Yanga kuwa msaidizi wa mawasiliano ya Rais Ikulu, kurugenzi ya mawasiliano imekanusha habari hizo na kusema kuwa sio za kweli.

Barua iliyoandikwa kutoka Ikulu imesema ‘kuna taarifa zimesambazwa zikisema kuwa Rais Mafufuli amemthibitisha Gerson Msigwa kuwa mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu huku msaidizi wake akiwa ni aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Murro, taarifa hizo sio za kweli na wananchi wazipuuze

WhatsApp-Image-20160717 (1)

ULIIKOSA HII KWA MARA YA KWANZA HOSPITALI YA MUHIMBILI IMEWEZA KUWEKA BETRI KWENYE MOYO WA MTOTO 

Soma na hizi

Tupia Comments