Michezo

Kabla mwaka haujaisha huu ni ushindi mwingine kwa staa wa tennis duniani…

on

Staa wa tennis duniani Andy Murray ameingia kwenye headlines baada ya kuibuka mshindi katika nafasi ya mchezaji bora wa mchezo huo kupitia tuzo za BBC.

Murray aliibuka mshindi akiwa huko huko Ireland mbele ya umati mkubwa wa watu waliohudhuria katika shughuli hiyo.

Huu ni ushindi wa pili kwa Murray kupitia tuzo hizo katika kipindi cha miaka mitatu.

Andy Murray ameendelea kuonyesha uwezo wake kupitia mchezo wa tennis na amefanikiwa kufikia fainali za mashindano ya Austarilia na fainali za Wimbledon.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments