Duniani

Kutana na jumba la Makumbusho juu ya Milima! Italy na rekodi zao..

on

Juu ya Milima ya Kronplatz iliyoko Jimbo la South Tyrol, Italy.. hii ni moja ya vivutio vya aina yake kabisa, ni ubunifu wa Mhandisi Zaha Hadid.

150807172900-20150723-mmm-corones-opening-13-www-wisthaler-com-super-169

Picha ya Juu ya Milima hiyo ndani ya Italy.

Juu ya Kilele cha Mlima Mkubwa Afrika ambao uko Tanzania, Mlima Kilimanjaro kuna theluji ambayo ni ya asili kabisa na ni kivutio kikubwa kinachofanya Watalii wengi wakitajiwa Mlima Kilimanjaro basi moja ya vitu vya kuvutia wanavyotamani kuviona ni ile theluji juu ya Mlima.

Pata picha unapanda juu ya Milima kutalii alafu unakutana na Mijengo ya Makumbusho ambayo ndani yake kuna vitu vingine pia vya kukuvutia uendelee kutalii.

Nimezipata pichaz nje mpaka ndani ya Jumba la Makumbusho lililopewa jina la Messner Mountain Museum, kilichomo humo ni michoro ya kuvutia ambapo mbunifu wa Mjengo anasema hakuna kitu cha Sayansi wala maonesho ya sanaa ndani yake, ni michoro inayohusu masuala ya binadamu na Milima, basi !!

150812130537-05-zha-mmm-corones-inexhibit-super-169

150807173608-mmmcoronesexteriora-c-zahahadid-super-169

150812130632-07-zha-mmm-corones-wisthaler-com-super-169

150812130651-08-zha-mmm-corones-werner-huthmacher-05-super-169

51ecc400e8e44e67170000be_messner-mountain-museum-at-plan-de-corones-proposal-zaha-hadid-architects_03_interior-1000x706

Hapa ni ndani tayari, baadhi ya watu wanaendelea kujionea vivutio vilivyomo humo.

image_manager__zoom_mmmcorones_c_kronplatz-zahahadid-04_interior_b_006

zaha-hadid-reinhold-messner-mountain-museum-mmm-corones-kronplatz-alps-mountaintop-designboom-08

150807173529-20150723-mmm-corones-opening-3--www-wisthaler-com-super-169

Muonekano wa ndani, pichaz za michoro ya Milima ziko ukutani pamoja na vitu vingine vya kuvutia.

150812130717-10-zha-mmm-corones-werner-huthmacher-super-169

150807173654-mmmcorones-c-kronplatz-zahahadid-05-schnitt-006-super-169

Huu ndio muonekano mwingine wa muundo wote wa Mjengo wenyewe nje mpaka ndani.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments