Michezo

Vita ilichangia Rais Museveni kutoijua Timu ya Taifa ya Uganda? Majibu yake ni haya…

on

Museveni

Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni alikuwa kwenye ziara zake kikazi Wilaya ya Wakiso, Uganda… katika vitu vilivyofanya akaweka  headlines zaidi ni pale ambapo alikiri kwamba hakuwa anaijua Timu ya Taifa ya Uganda >>> “Sikujua kama ‘The Cranes‘ ni Kikosi cha Timu ya Taifa, nilijua ni Klabu tu… Walinielekeza kwamba Vilabu vingine vinatoa Wachezaji kuunda Kikosi cha ‘The Cranes’ ambacho ndio Timu ya Taifa”– Rais Yoweri Kaguta Museveni.

sarha

Rais Museveni akionesha ufundi wake kupiga control mbele ya Vijana wa The Cranes.

Hapohapo akasimulia pia vita ilivyomtoa kabisa kwenye Michezo >>>> “Nilikuwa mtu wa michezo miaka ya nyuma sana… Nilipenda kucheza mpira wa miguu lakini toka mwaka 1966 nilikuwa karibu zaidi na masuala ya vita, sasahivi kidogo nafatilia michezo kwa sababu kumekuwa na utulivu“—Rais Museveni.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments