Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.
Sasa leo June 1, 2023 Rais Museveni ameibuka na kuelezea msimamo wake.