Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liliendelea kujadili na kushauri kuhusu mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali kwa mwaka 2022/2023 pamoja na mwongozo wa kuandaa mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023.
Ambapo miongoni mwa Wabunge waliosimama kuchangia mjadala huo ni Mbunge wa Geita Joseph Musukuma.