Top Stories

Muuaji atoka Gerezani kwa msamaha wa Magufuli “Nilipigana disco, damu ikavujia ndani” (+video)

on

Leo December 10, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amewahimiza watu wa Mwanza na Watanzania wote waendelee kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kuwatumikia;

Tumuombee Rais wetu awe na afya njema aendelee kututumikia, yeye mwenyewe anasema amejitoa sadaka kwa Tanzania, Watanzania Tunafaamiana mtaani, Rais ameshawaachia sasa mtupumzishe na sisi tulale jamani” RC Mongella 

Baada ya kuzungumza RC Mongela amempa nafasi kijana aliekuwa amefungwa kwa kosa la mauaji atoe shukrani zake kwa kupokea msahama.

Nimeingia nikiwa mdogo, niliingia miaka 20 muda huu nina 28, nilipata kesi ya mauaji nikiwa disco tulipigana mwenzangu damu ikavujia ndani” Michael Elias 

MUFTI MKUU APIGA MARUFUKU MUZIKI MOTO NCHI NZIMA “DUFU NA QASWIDA WANACHAFUA”

Soma na hizi

Tupia Comments