Top Stories

“Sisi sio wakimbizi” Wananchi wa Muleba wamlilia Rais Magufuli

on

Wakazi wa Kijiji cha Buyo katika Wilaya ya Muleba, Kagera wamemuomba Rais Magufuli kuwasaidia ili wawaache waendelee kuishi na kufanya shughuli zao hasa kilimo kijijini hapo badala ya kuwahamisha bila kujua wanapelekwa wapi kwa kuwa wamekuwa wakiishi katika eneo hilo kwa miaka mingi.

Mwenyekiti wa kijiji hicho Christian Kalumuna ameeleza kuwa sasa hivi pamezuka hofu kubwa katika eneo hilo baada ya baadhi ya wanakikiji kukamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa madai ya kufanya shughuli za kilimo kinyume na sheria.

>>>”Naomba Serikali iangalie hili suala na kuona jinsi ya kulitatua kwani wakulima wameweka mpango wa kujihami dhidi ya watu watakaotokea na kuwakataza wanakijiji hao.” – Christian Kalumuna.

POLISI DSM WATOA MAJIBU KUSHIKILIWA HASHIM RUNGWE

POLISI ARUSHA! Ni kuhusu maiti za watoto zilizokutwa shimoni

Soma na hizi

Tupia Comments