Top Stories

IGP Siro apewa maagizo maziro na Magufuli kwa simu, “msimamishe kazi” (+video))

on

Rais Magufuli amempigia simu IGP Sirro na kumtaka kumsimamisha kazi Ofisa wa Polisi ambaye alikaimu nafasi ya RPC Rukwa wakati agizo la Lugola linatolewa,Polycarp Orio, kutokana na kutomfikishia taarifa RPC Rukwa, juu ya maagizo aliyoyatoa Waziri ya kuhamishwa kwa Maaskari 9.

Soma na hizi

Tupia Comments