Top Stories

Hali ilivyo baada ya Mvua kuvunja Daraja linalounganisha Wilaya za Arusha

on

January 18, 2018 Daraja lililopo Makuyuni linalounganisha Wilaya ya Monduli na Karatu mkoani Arusha limevunjika baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha watu kukaa zaidi ya saa 6 bila usafiri na hivyo kusababisha shughuli kusimama kwa muda wote huo.

Mwandishi wa AyoTv na millardayo.com alikuwepo eneo husika ambapo aliongea na wananchi mbalimbali waliopata adha hiyo ya usafiri pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Monduli Idd Kimanta ambaye ameeleza hatua ambazo wamezichukua.

VIDEO ILIYOREKODI MAZUNGUMZO YA KINGUNGE NA MAALIM SEIF LEO AKIWA KITANDANI

 

Soma na hizi

Tupia Comments