Top Stories

Waitara akasirishwa mbele ya Waziri Mkuu “hawa saizi yangu naanza nao” (+video)

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yupo Mkoa wa Geita kikazi kwa siku tatu na leo ameanzia Wilaya ya Chato, kwenye msafara wake ameambatana na baadhi ya Manaibu Waziri akiwemo Mwita Waitara Naibu Waziri wa TAMISEMI.

Waitara amezungumza mbele ya Waziri Mkuu “Nikuhakikishie Waziri Mkuu nitafuatilia kila hatua, wale wataokula pesa watakuwa saizi yangu tutaanza nao, Bilioni 8.2 fedha za Watanzania wale mliopewa dhamana ukipewa fedha ya Serikali hakikisha inachofanya kinafanana”

JPM “LOWASSA WASHAURI UNAOWAONGOZA LA SIVYO WATAISHIA GEREZANI”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments