Habari za Mastaa

VIDEO: Umejiuliza kwanini filamu za wenzetu sauti ziko clear kila siku?

on

Inawezekana ukakaa na remote yako kuongeza sauti na kupunguza kila wakati ukiwa unatazama movie nyingi za Tanzania na baadhi ya mataifa mengine ya Afrika ila ukweli ni kwamba kwa wenzetu kama Marekani, kazi ya filamu sio tu mbele ya camera bali hata mbele ya microphone.

Kinachofanya tuone sauti za maongezi kwenye filamu zao zinasikika vizuri kuanzia mwanzo wa filamu mpaka mwisho ni kwamba Waigizaji hutumia pia muda wao kukaa studio na kuingiza sauti kupitia microphone kwenye mazingira tulivu kwa kufatisha mazungumzo yao kwenye filamu waliyoirekodi awali.

Hii video hapa chini inaweza kukupa mwanga jinsi wanavyoingiza sauti kwa kufatisha walichoongea kwenye filamu walizoigiza awali, hii yote ni kwenye hatua za kuikamilisha filamu itoke kwenye kiwango bora zaidi.

ULIIKOSA HII YA KIBONGO? MUME KAENDA KAZINI WIFE KALETA MCHEPUKO NYUMBANI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

MWIGIZAJI WASTARA AELEZA KWANINI NDOA YAKE NA MBUNGE IMEVUNJIKA NDANI YA SIKU 80, TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments