Habari za Mastaa

Umesikia kuhusu Mavoko kukimbia na mashuka ya hotel?sikiliza hapa

By

on

You-heardWeek end iliyopita Mavoko na Shettah walienda kufanya show Mtwara miongoni mwa vitu vilivyotokea kwenye hotel waliyolala ni kuhusu kuondoka na mashuka ya hiyo hotel taarifa hizi anazi-amplify Soud Brown sikiliza kupitia 87.8 Clouds Fm Mbeya.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments