Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: MTV Video Music Awards 2015 ziko njiani hapa nina orodha kamili ya wale wote wanaowania Tuzo mwaka huu.
Share
Notification Show More
Latest News
Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’
August 14, 2022
Baada ya kipigo Ahmed Ally atoa kauli ya faraja kwa Wana Simba ‘Tunapitia maumivu makali mno’
August 14, 2022
Picha:Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022
August 14, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022
August 14, 2022
Maneno ya Manara kuelekea Mchezo wa Yanga na Simba leo, “Nendeni mkapiganie Jezi na jina la Club’
August 13, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > MTV Video Music Awards 2015 ziko njiani hapa nina orodha kamili ya wale wote wanaowania Tuzo mwaka huu.
Habari za Mastaa

MTV Video Music Awards 2015 ziko njiani hapa nina orodha kamili ya wale wote wanaowania Tuzo mwaka huu.

July 22, 2015
Share
6 Min Read
SHARE

VMA

Tuzo za MTV Video Music Awards 2015 za Marekani zimewadia, vipengele na orodha kamili ya majina ya wale wote wanaowania tuzo hizo mwaka huu imetoka.

Good news kwa wale mashabiki wa Taylor Swift ni kwamba mwaka huu msanii huyu anaongoza tuzo hizi akiwa amechaguliwa kwenye vipengele 9, Ed Sheeran akiwa kwenye vipengele 6 na RnB queen Beyonce akiwa kwenye vipengele 5.

VMA2

Mc wa tuzo za mwaka huu atakuwa msanii Miley Cyrus na tuzo hizi za MTV VMA 2015 zitafanyika live jijini Los Angeles kwenye ukumbi wa L.A. Microsoft Theater siku ya Jumapili tarehe 30 Agosti.

VMA3

Hapa chini nimekusogezea orodha kamili ya wale wote wanaowania tuzo hizi za MTV VMA 2015…

VIDEO OF THE YEAR
Beyoncé – “7/11″
Ed Sheeran – “Thinking Out Loud”
Taylor Swift feat. Kendrick Lamar – “Bad Blood”
Mark Ronson feat. Bruno Mars – “Uptown Funk”
Kendrick Lamar – “Alright”

BEST MALE VIDEO
Ed Sheeran – “Thinking Out Loud”
Mark Ronson feat. Bruno Mars – “Uptown Funk”
Kendrick Lamar – “Alright”
The Weeknd – “Earned It”
Nick Jonas – “Chains”

BEST FEMALE VIDEO
Beyoncé – “7/11″
Taylor Swift – “Blank Space”
Nicki Minaj – “Anaconda”
Sia – “Elastic Heart”
Ellie Goulding – “Love Me Like You Do”

BEST HIP-HOP VIDEO
Fetty Wap – “Trap Queen”
Nicki Minaj – “Anaconda”
Kendrick Lamar – “Alright”
Wiz Khalifa feat. Charlie Puth – “See You Again”
Big Sean ft. E-40 – “I Don’t F–- With You”

BEST POP VIDEO
Beyoncé – “7/11″
Ed Sheeran – “Thinking Out Loud”
Taylor Swift – “Blank Space”
Mark Ronson feat. Bruno Mars – “Uptown Funk”
Maroon 5 – “Sugar”

BEST ROCK VIDEO
Hozier – “Take Me To Church”
Fall Out Boy – “Uma Thurman”
Florence + the Machine – “Ship To Wreck”
Walk the Moon – “Shut Up and Dance”
Arctic Monkeys – “Why’d You Only Call Me When You’re High?”

ARTIST TO WATCH
Fetty Wap – “Trap Queen”
Vance Joy – “Riptide”
George Ezra – “Budapest”
James Bay – “Hold Back The River”
FKA Twigs – “Pendulum”

BEST COLLABORATION
Taylor Swift feat. Kendrick Lamar – “Bad Blood”
Mark Ronson feat. Bruno Mars – “Uptown Funk”
Wiz Khalifa feat. Charlie Puth – “See You Again”
Ariana Grande & The Weeknd – “Love Me Harder”
Jessie J + Ariana Grande + Nicki Minaj – “Bang Bang”

VIDEO WITH A SOCIAL MESSAGE
Jennifer Hudson – “I Still Love You”
Colbie Caillat – “Try”
Big Sean feat. Kanye West and John Legend – “One Man Can Change the World”
Rihanna – “American Oxygen”
Wale – “The White Shoes”

BEST ART DIRECTION
Taylor Swift feat. Kendrick Lamar – “Bad Blood” (Charles Infante)
Snoop Dogg – “So Many Pros” (Jason Fijal)
Jack White – “Would You Fight For My Love” (Jeff Peterson)
The Chemical Brothers – “Go” (Michel Gondry)
Skrillex & Diplo – “Where Are U Now” with Justin Bieber (Brewer)

BEST CHOREOGRAPHY
Beyoncé – “7/11″ (Beyoncé, Chris Grant, Additional choreography: Gabriel Valenciano)
OK Go – “I Won’t Let You Down” (OK Go, air:man and Mori Harano)
Chet Faker – “Gold” (Ryan Heffington)
Ed Sheeran – “Don’t” (Nappy Tabs)
Flying Lotus feat. Kendrick Lamar – “Never Catch Me” (Keone and Mari Madrid)

BEST CINEMATOGRAPHY
Flying Lotus feat. Kendrick Lamar – “Never Catch Me” (Larkin Sieple)
Ed Sheeran – “Thinking Out Loud” (Daniel Pearl)
Taylor Swift feat. Kendrick Lamar – “Bad Blood” (Christopher Probst)
FKA Twigs – “Two Weeks” (Justin Brown)
Alt-J – “Left Hand Free” (Mike Simpson)

BEST DIRECTION
Taylor Swift feat. Kendrick Lamar – “Bad Blood” (Joseph Kahn)
Mark Ronson feat. Bruno Mars – “Uptown Funk” (Cameron Duddy)
Kendrick Lamar – “Alright” (Colin Tilley & The Little Homies)
Hozier – “Take Me To Church” (Brendan Canty, Conal Thomson)
Childish Gambino – “Sober” (Hiro Murai)

BEST EDITING
Beyoncé – “7/11″ (Beyoncé, Ed Burke, Jonathan Wing)
Ed Sheeran – “Don’t” (Jacquelyn London)
Taylor Swift ft. Kendrick Lamar – “Bad Blood” (Chancler Haynes at Cosmo Street)
A$AP Rocky – “L$D” (Dexter Navy)
Skrillex & Diplo “Where Are U Now” with Justin Bieber (Brewer)

BEST VISUAL EFFECTS
Taylor Swift ft. Kendrick Lamar – “Bad Blood” (Ingenuity Studios)
FKA Twigs – “Two Weeks” (Gloria FX, Tomash Kuzmytskyi, and Max Chyzhevskyy)
Childish Gambino – “Telegraph Ave.” (Gloria FX)
Skrillex & Diplo “Where Are U Now” with Justin Bieber (Brewer)
Tyler, The Creator – “F****** Young/Death Camp” (Gloria FX)

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

You Might Also Like

Tanzania ya 3 kutumia Audiomack, wasanii changamkieni

Dj Khaled ametuletea hii video mpya ‘Staying alive’ akiwa na Drake na Lil Baby

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

Picha: Zuchu, Mwana FA na wengineo walivyotoa burudani hafla ya kuwaaga Wabunge

TAGGED: Marekani
Millard Ayo July 22, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Maneno ya MSEKWA kwa KINGUNGE, LEMBELI na sababu za kumtoa CCM, BVR Dar ni leo..#MAGAZETINI JULY22
Next Article Azam FC imekamilisha usajili kwa Wachezaji wa Kigeni kwa kumsajili huyu.. (Picha)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’
Sports August 14, 2022
Baada ya kipigo Ahmed Ally atoa kauli ya faraja kwa Wana Simba ‘Tunapitia maumivu makali mno’
Sports August 14, 2022
Picha:Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022
Top Stories August 14, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022
Magazeti August 14, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022

August 12, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 11, 2022

August 11, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 10, 2022

August 10, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 9, 2022

August 9, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?