Top Stories

Serikali imefuta ada ya matumizi ya maji kwa watu wenye visima

on

Moja ya jambo lililojitokeza kwenye Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ni Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Philip Mpango kutangaza kufutwa kwa gharama za wanaochimba visima majumbani.

“Serikali imefuta ada ya matumizi ya maji kwa watumiaji wenye visima nyumbani ambayo ilikuwa inatozwa kuanzia Shilingi laki moja na kuendelea kulingana na matumizi ya maji, lengo ni kupunguza gharama kwa wananchi wanaochimba visima kwa matumizi binafsi” Waziri Wa Fedha Dr. Mpango

BREAKING: Bajeti Kuu ya Serikali 2018/19, Serikali kupunguza Umasikini

 

Soma na hizi

Tupia Comments