Top Stories

Mvua kubwa Mikoa 8 leo

on

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la kuwepo kwa mvua kubwa leo katika baadhi ya maeneo kwenye Mikoa minane ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Arusha na Manyara

“Athari zinazoweza kujitokeza ni baadhi ya makazi ya Watu kuzungukwa na maji na kusimama kwa shughuli za kiuchumi, tuchukue tahadhari”

BABA ABAKA MTOTO WAKE WA KUMZAA “NI MWANAFUNZI DARASA LA 7”

Soma na hizi

Tupia Comments