Top Stories

Mtangazaji alie-trend kwa kumuiga Kocha Zahera, Manara, Shaffih Dauda walivyompost (+video)

on

George Silange ni kijana ambaye amechukua headlines baada ya kuigiza sauti ya Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amefunguka nakusema ana uwezo wa kuigiza sauti za watu mabalimbali ikiwemo Mchambuzi wa soka Mwalimu Kashasha.

MAGUFULI “AKIKUAMBIA WEWE MZURI MWAMBIE MAMA YAKE NDO MZURI, UMEWASHINDWA WAKUBWA”

Soma na hizi

Tupia Comments