AyoTV

VIDEO: ‘Iko wapi ahadi ya Rais Magufuli’ –Mary Mwanjelwa

on

Mbunge wa viti maalum Mbeya mjini Mary Mwanjelwa ameiomba serikali ya awamu ya tano kutekeleza ahadi zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli ikiwemo ile ya kufanya maboresho katika barabara kuu ya jiji la Mbeya.

Nimekuwa nikipigia kelele hili tatizo la barabara ya Uyole-Mafyati yaani dakika 10 inachukua masaa matatu, mimi bila kusita nitashika shilingi ya Waziri’ –Mary Mwanjelwa

Full video tayari nimekuwekea hapa chini….

VIDEO: JPM amekabidhiwa Ripoti ya Uhakiki wa Vyeti vya Watumishi wa Umma – Dodoma 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments