Top Stories

“Mwalimu kumsalimia Mwanafunzi ni kawaida” Maneno ya mwalimu anaefundisha watu wazima (+video)

on

Mwalimu Barnabasi Ngasi na wenzake saba wamekuja na wazo la kufundisha Wanafunzi waliopitia changamoto za kimaisha na kupelekea kuchelewa kufikia ndoto zao kwa msomo ya Sekondari, tayari wanao Wanafunzi zaidi ya mia moja na wengine ni Wanafunzi wenye watoto na kwao Mwalimu kumsalimia Mwanafunzi sio jambo la kushangaza.

Soma na hizi

Tupia Comments