Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mwalimu wa madrasa adaiwa kulawiti
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mwalimu wa madrasa adaiwa kulawiti
Top Stories

Mwalimu wa madrasa adaiwa kulawiti

November 4, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Mwalimu wa Madrasa katika msikiti wa Mohamed Shunu uliopo Mtaa wa Shunu Kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama, aliyefahamika kwa jina moja la Faidhi anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi 10 wa madrasa kwa nyakati tofauti kwa kuwarubuni kuwapa Sh 1000 na Sh 500

Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi, amethibitisha mwalimu huyo kukamatwa ambapo baada ya kufanya vitendo hivyo vya ukatili kwa watoto kuanzia umri wa miaka sita hadi 11 alitoroka  na kukimbilia Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma na walipofuatilia wamemkamata na amerudishwa Kahama kujibu tuhuma zinazomkabili.

Kamanda Magomi amesema Mwalimu huyo aliwarubuni watoto hao kwa kuwapa Sh 1000 na wengine Sh 500 kisha kuwafanyia kitendo hicho ambacho ni kinyume na maadili na kuwataka wazazi na walezi kuwafichuwa watu wanaowafanyia vitendo vya kikatili watoto wao badala ya kuwaficha.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mtaa wa Shunu Manispaa ya Kahama, Joseph Kaliwa amesema alipata taarifa kutoka kwa wananchi siku ya Ijumaa juu ya kulawitiwa watoto na kushirikisha viongozi wengine ndipo walipoanza kufuatilia na kuandaa kikao cha wazazi ili kupata maelezo ya kina kisha watoto wote walikwenda kufanyiwa uchunguzi hospitali ya Rufaa Kahama na kubaini wameingiliwa.

RC MAKALLA ATINGA NA HELIKOPTA MTO RUVU, ABAKI MDOMO WAZI VYANZO VYA MAJI VILIVYOKAUKA

You Might Also Like

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA November 4, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article RC Makalla atinga na helikopta mto Ruvu, abaki mdomo wazi vyanzo maji vilivyokauka (+video)
Next Article Wafanyakazi wawili wa TANESCO wafariki ajalini
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?