Habari za Mastaa

Mwana FA akutwa na Corona “Nimetengwa, Nina Corona”

on

I Msanii Mkongwe kwenye Bongo Fleva Mwana FA amefunguka kuhusu ishu ya Corona ambayo inaendelea hivi sasa ambapo amethibitisha kupima na kukutwa ameathirika na ugonjwa huo.

Mwana FA ambaye amejirecord video akizungumza kuhusu maendeleo yake ya kiafya amesema kwa sasa anaendelea vizuri licha ya kuwa ametengwa Kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA FA AKIZUNGUMZA.

ALIKIBA YAMEMGUSA HAYA YA CORONA “UGONJWA NI BIASHARA”

Soma na hizi

Tupia Comments