Ad

Habari za Mastaa

Mwana FA kafunguka ‘Nitajitahidi nisioneshe mapenzi kwa Simba SC leo’

on

Mbunge wa Muheza ambaye pia ni msanii wa Bongofleva Mwana FA leo amewasili visiwani Zanzibar katika uwanja wa Aman kushuhudia mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi 2021 ambapo zitakutana Simba na Yanga.

Akizungumza na Ayo TV & Millardayo.com Mwana FA alisema ‘Leo sitokuwa upande wa Simba SC kwani mimi ni mwanakamati wa kuamasisha hususani masuala ya mpira na hata kama Simba wakifunga goli leo uwanjani basi sitonyanyuka kushangilia ni maamuzi yangu tu japo sio vibaya’- Mwana FA

SOUND CHECK YA HARMONIZE, LEO ATAINGIAJE KWENYE FAINALI SIMBA NA YANGA?

 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments