Top Stories

Mwanafunzi ajiua Arusha,kisa kulazimishwa kwenda shule na baba yake

on

Mwanafunzi wa shule ya Osuyai Elibariki Lekine mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa jiji la Arusha mtaa wa FFU amejiua kwa madai yakuwa na ugomvi na baba yake baada yakulazimishwa kwenda shule

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na  kamanda wa polisi Arusha Jonathan Shanna imesema kwamba mwanafunzi huyo anayesoma darasa la nne amejinyonga kwa kutumia kamba ya katani

MEYA KINONDONI ALIVYOKUTANA NA WASANII KUKABIDHI MIKOPO WALIYOAHIDI

 

Soma na hizi

Tupia Comments