Top Stories

Mwanafunzi alieongoza Kidato cha nne nchi nzima “Baba amefariki, Mama alishindwa kuongea” (+video)

on

Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza kitaifa katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2020, Paul Luziga mwenye miaka 17 aliyekuwa akisoma shule ya sekondari Panda Hill ya jijini Mbeya amekaa kwenye Interview na AyoTV na millardayo.com ameeleza alivyopokea matokeo, ndoto zake.

“Nilikuwa naangalia movie nikapigiwa simu kuwa nimekuwa wa kwanza Kitaifa mwanzoni sikuamini, nimefurahi sana, malengo yangu ni kuja kuwa Injiania hasa kwenye upande wa Mawasiliano” -Paul

MWANAFUNZI WA KWANZA KIDATO CHA NNE NCHI NZIMA WASICHANA, MAGUMU ALIYOPITIA, NDOTO ZAKE

Soma na hizi

Tupia Comments