Top Stories

Mwanafunzi aliyepewa Ujauzito na Mwalimu afunguka “Chanzo ni Saa” (video+)

on

Mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka (15 )aliyekuwa anasoma kidato cha pili shule ya sekondari Kolero Morogoro vijijini jina limehifadhiwa ameomba Serikali imsaidie kupata haki yake baaada ya Mwalimu wake wa Sayansi kumpa ujauzito na kuahidi kumuona na kumpa huduma.
Ayo TV  & Millardayo.com imekusogezea taarifa kamili hapa unaweza ukabonyeza hii video hapa.

Tupia Comments