Top Stories

Mwanafunzi wa kwanza Kidato cha Nne wanawake, magumu aliyopitia, ndoto zake “MUNGU mkubwa” (+video)

on

AyoTV na millardayo.com imefanya Exclusive Interview na Binti Justina Gerald mwenye miaka 15 ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Canossa na ndie alieshika nafasi ya kwanza kwa wasichana katika Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2020 amesema anataka kuwa Mhandisi wa Mafuta.

Ukiacha yeye kuwa wa kwanza kwa wasichana katika matokeo hayo, Justine ameshika nafasi ya pili katika orodha ya wanafunzi 10 bora kitaifa.

“Kwanza ni kumtanguliza Mungu kwa kila jambo, pia ni kuweka nia na malengo na kuhakikisha nayatekeleza na pia kushirikiana na wanafunzi wenzangu na walimu na wazazi, nataka kuwa Mhandisi wa Mafuta ya Petroli” Justina, itazame stori yote hapa.

Soma na hizi

Tupia Comments