Top Stories

Mwanamke aliekwenda mochwari kumtafuta Mume wake (+video)

on

Siku ya jana tunafahamu ilikikuwa ni siku ya Fathers Day na kama wewe uliitumia kukaa na familia yako na kufurahi kwa pamoja naomba chukua tano za nguvu, ila sio wote walio enjoy na siku hiyo mfano mzuri ni kutoka kwa Zawadi Salvatory umri wake ni miaka 29 Mama wa mtoto mmoja anasema siku ya jana haipi asilimia mia moja kutokana na mkasa aliowahi kuupitia akiwa na Baba wa mtoto wake kwani aliwahi kwenda hadi mochwari kumtafuta baada ya kutorudi nyumbani kwa saa 24 apata na hofu huwenda amepatwa na matatizo.

MAGUFULI “IGP SIRRO USIJIDANGANYE KUGOMBEA UBUNGE, NITAKUFUTA HATA UKISHINDA”

Soma na hizi

Tupia Comments