Top Stories

Mwanamke autukana msafara wa Rais Trump, ripoti inaeleza kwanini hajakamatwa

on

Mwanamke mmoja wa Virginia Marekani wiki hii ame-trend duniani baada ‘kutusi’ kwa kutumia kidole msafara wa Rais Trump uliokua unaelekea kwenye kiwanja chake kucheza golf, wengine wameona Trump amekosea na wengine wameona hajakosea chochote ila Wapinzani wake wamemkosoa kwasababu amecheza golf wakati Taifa lake lina vifo zaidi ya laki moja vya corona na Wagonjwa zaidi ya milioni 1.7.

Ripota wa millardayo.com Mubelwa Bandio akiwa Washington DC amekusanya ripoti fupi ya Watu ambao wamewahi kuwakutakana Marais wa Marekani kwenye nyakati tofautitofauti, na pia ameeleza kwenye hii ripoti hapa chini kwamba kwanini Mwanamke huyu wa juzi Virginia hajakamatwa kwa kutoa tusi hilo.

VIDEO: SHOW YA DIAMOND PLATNUMZ ILIYOVUNJA REKODI MAREKANI, WATU 500 WALIKOSA NAFASI YA KUINGIA

Soma na hizi

Tupia Comments