Top Stories

Mwanamke wa kwanza kuendesha bajaji Kigoma “MUNGU asaidie niendeshe ndege” (+video)

on

AyoTV na millardayo.com inakukutanisha na Mwanamke Azizi Yayaha Hungu mwenye umri wa miaka 32 mkazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mkoani Kigoma ambae aliishia darasa la nne, ana watoto watano.

Aziza anatajwa kuwa ndie Mwanamke wa kwanza Mkoani Kigoma kuendesha bajaji, itazame stori yake yote hapa chini.

CORONA: MAGARI YALIYOKOSA SANITIZER YAKAMATWA “HATUFANYI MASIHARA NA CORONA”

Soma na hizi

Tupia Comments