Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mwanaume aishitakia hospitali kumlipa zaidi ya Bilioni 2 kwa kumsababishia ugonjwa wa akili
Share
Notification Show More
Latest News
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
September 27, 2023
Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mwanaume aishitakia hospitali kumlipa zaidi ya Bilioni 2 kwa kumsababishia ugonjwa wa akili
Top Stories

Mwanaume aishitakia hospitali kumlipa zaidi ya Bilioni 2 kwa kumsababishia ugonjwa wa akili

September 19, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mwanamume wa Australia alijaribu kushtaki hospitali ya Melbourne akidai kuwa ‘aliporuhusiwa’ na hata ‘kutiwa moyo’ kuhudhuria sehemu ya tukio la oparesheni ya kujifungua ya mke wake, ambalo limemsababishia kuanza kwa ugonjwa wa akili.

Mnamo Januari 2018, mke wa Anil Koppula alijifungua mtoto mwenye afya njema kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Royal Women huko Melbourne,aliruhusiwa katika chumba cha upasuaji wakati wa utaratibu huo, na alipoona viungo vya mke wake na damu inadaiwa kumesababisha mwanzo wa ugonjwa wa akili.

Sasa, miaka kadhaa baadaye, anajaribu kushtaki hospitali  hiyo kwa $ 1 bilioni zaidi ya tsh billion 2 za Kitanzania kwa uharibifu wa kisaikolojia juu yake .

Koppula, ambaye alijiwakilisha wakati wa taratibu za kisheria, alidai kuwa hospitali hiyo ilikiuka wajibu wake wa kumhudumia, na kuongeza kuwa ugonjwa huo wa kisaikolojia ulisababisha kuvunjika kwa ndoa yake.

You Might Also Like

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA September 19, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mbunge Cherehani ampongeza waziri Bashe kwa mafanikio ya kilimo cha tumbaku Shinyanga
Next Article Baada ya kufeli kupata leseni amtafuta mtu aliye fanana nae amsaidie mtihani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
Top Stories September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
Top Stories September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
Sports September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
Top Stories September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

September 27, 2023
Top Stories

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

September 27, 2023
Sports

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

September 27, 2023
Top Stories

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?