Top Stories

Mwanri aliamsha “Wanyang’anywe kiwanda, kibarua kitaota ukoko, nilienda na Bashe usiku” (+video)

on

February 21, 2020 Serikal imeombwa kuvunja mkataba na Mwekezaji wa kiwanda cha kuchakata nyuzi cha TABORA TEXTILE baada ya Mwekezaji huyo kushindwa kukiendesha kwa zaidi ya miaka 10.

Hilo limeibuka katika Kikao cha Wajumbe wa Kamati ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Tabora kilichokuwa kikipokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama hicho iliyosomwa na RC Tabora Aggrey Mwanri.

LIVE: JAMES MBATIA ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Soma na hizi

Tupia Comments