Top Stories

Mwanri kawasha moto Mzee kaonewa “come on men, Babu nitakulinda” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameagiza kufuatiliwa kwa kesi ya mgogoro wa wakulima na wafugaji katika Kata ya Tutuo Wilaya ya Sikonge baada ya mwananchi mmoja kukatwa na panga “Kuna habari ya kijana kukatwa na panga kwanini mtu akamatwe halafu muhusika aachiwe,msiwe mnafumbafumba mambo muitatue atakufa”.

CHUONI MWANAFUNZI AUAWA WAKIMGOMBEA SAIDA, WOTE WALIKUWA WANAUME WAKE

Soma na hizi

Tupia Comments