Top Stories

Mwanri “pigeni pamba, pigeni panki sana hafi mtu hapa” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kupitia Ofisi yake wametoa Milioni 12 katika vikundi 12 katika konga za Wilaya za wanaoishi na Virusi vya UKIMWI ili kuunga mkono juhudi wanazofanya katika uzalishaji na kujikwamua kimaisha.

RC Mwanri “Usije ukajikunyata ukasema kwanini mimi, wewe changamka piga panki sana, piga mabutu sana, wakinamama piga pamba sana halafu sema maisha yanakwenda hafi mtu hapa”.

“HUYO AKAMATWE AWEKWE NDANI ASHTAKIWE SIO KUTUMBULIWA TU!” RAIS MAGUFULI AMVAA KIGOGO MOROGORO

Soma na hizi

Tupia Comments