Nyumba/ Mijumba

Good News: Rock City Mall imekamilika, hizi ndio sifa zake kubwa usizozijua…(+Audio)

on

Kwa mara nyingine tena nakusogezea stori kutokea Mwanza kuhusiana na jengo jipya la Rock City Mall ambalomiezi kadhaa iliyopita lilianza kuchukua headlines baada ya kuonekana ndio Shopping Mall kubwa kuwahi kujengwa katika jiji hilo.

hapa nakukutanisha na Joseph Mlinzi katibu wa kampuni iliyojenga jengo hilo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments