Leo Agosti 23, 2021 Kesi ya Uhujumu Uchumi na Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Wenzake watatu wameitwa chini ya hati ya dharura ambapo wamesomewa maelezo ya Mashahidi na Upande wa mashtaka.
Hii ni video inamuonesha Mbowe na Wenzake wakiondolewa Mahakamani hapo.
OLE SABAYA, IGP SIRRO WATAJWA KESI YA MBOWE MAHAKAMANI KISUTU “TUMEOMBA WALETWE”