Top Stories

Utani wa Spika Ndugai kwa Mbunge Mwita Waitara, Zitto hoi kwa kicheko

on

November 8, 2018 kwa mara ya kwanza Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara alisimama Bungeni tangu ajiuzulu nafasi yake ya Ubunge akiwa CHADEMA na baadae kuitetea nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM ambapo alikuwa akichangia mapendekezo yake kwenye mpango wa maendeleo wa taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na mwongozo wa kuandaa mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20.

Miongoni mwa yaliyonogesha mchango huo ni utani wa Spika Job Ndugai wakati Waitara akiendelea kuwasilisha maoni yake.

“Tunakubali kwenda kujinyonga?” -Zitto Kabwe (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments