Mix

VIDEO: Hatua zitakazochukuliwa kupunguza msongamano vituo vya Mwendokasi

on

Watumiaji wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam wamekuwa wakikumbana na changamoto ya msongamano kwenye vituo vya mabasi hayo hasa nyakati za Asubuhi.

Leo June 2, 2017 Meneja wa Ujenzi na Uendelezaji wa mfumo, Fanuel Karugendoameeleza kuwa upo mpango wa kuongeza mtoa huduma mwingine ambaye atakuwa na uwezo wa kuongeza mabasi 160 ili kufikisha idadi ya mabasi 300 ambayo yatakuwa yanatoa huduma hiyo.

Kwenye hii VIDEO kuna kila kitu ambacho unatakiwa kufahamu kuhusu mpango huo wa kupunguza msongamano…bonyeza PLAY kutazama!!!

VIDEO: Utamaduni wa kushangaza Zanzibar, haupo sehemu nyingine Duniani, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments